DC Kinondoni ajibu madai ya wafanyakazi waliogoma
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo, amewashauri wafanyakazi wa Kampuni ya CRJE wanaofanyakazi katika Hospitali ya CCBRT, kuhakikisha wanawasilisha malalamiko yao, Idara ya Kazi na Ajira ili malalamiko hayo yaweze kupatiwa ufumbuzi.