Amber Rutty akataa kufananishwa na Nabii Tito Msanii Amber Rutty na Nabii Tito. Msanii, Video vixen na mwanamitandao Amber Rutty, amekataa kufananishwa na Nabii Tito kwa kusema hadhi yake ni ya kufananishwa na 'role model' wake ambaye ni mwanamitindo wa Marekani, Amber Rose. Read more about Amber Rutty akataa kufananishwa na Nabii Tito