Tigana Lukinja aelekea Ghana kusaka vipaji
Mchambuzi wa michezo kutoka East Africa Television na East Africa Radio Tigana Lukinja ambaye ni kocha wa soka, ameondoka nchini leo Desemba 11, 2019 kwenda nchini Ghana kwaajili ya mradi maalum wa kusaka vipaji vya soka, unaoratibiwa na Bundesliga.