Sosopi aendelea kushikiliwa na polisi
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, BAVICHA limeeleza kuwa linaendeleea kufuatilia kupatikana kwa dhamana ya Mwenyekiti wake Patrick Ole Sosopi ambaye alikamatwa jana akiwa mkoani Morogoro.