Wanakijiji wamfukuza mwanakijiji mwenzao Wananchi wa kijiji cha Itunduma Wananchi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe wameazimia kumfukuza kijijini hapo Ang'emelye Wikechi, kwa kile kinachoelezwa kuwa amekuwa ni chanzo cha uvunjifu wa amani kijijini hapo. Read more about Wanakijiji wamfukuza mwanakijiji mwenzao