Mbunge CCM amjibu Nyalandu kuhusu CHADEMA 2020
Mbunge wa Singida Kaskazini Justine Monko amesema kauli ambayo ameitoa Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Lazaro Nyalandu kuwa CHADEMA inaenda kushinda majimbo yote ndani ya Mkoa wa Singida na kudai kuwa jambo hilo halitawezekana kwa sasa.