Wanafunzi wafa maji wakijifunza mkoani Geita
Wanafunzi watatu wamefariki dunia kwa ajali ya maji baada ya baada ya Mtumbwi uliokuwa umebeba wanafunzi watano wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Makurugusi, Wilayani Chato Mkoani Geita kupinduka eneo la Kibumba Mwaro wa Matofari.