Aliyejifungua mapacha wanne atinga Bungeni
Mama aliyejifungua watoto mapacha wanne, Radhia Solomon (24) mkazi wa Chemchemi Magomeni jijini Dar es salaam na kutelekezwa na mmewe kwa madai ya kukwepa majukumu amewasili bungeni na kuahidiwa kupatiwa msaada.