Playoff kupanda ligi kuu, mechi zaahirishwa

Pamba FC na Kagera Sugar

Mechi mbili za mtoano 'Plyaoff'  zilizokuwa zichezwe leo hii kati ya Pamba FC dhidi ya Kagera Sugar na Geita Gold dhidi ya Mwadui zimeahirishwa na badala yake zitachezwa kesho majira ya saa kumi jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS