Waziri atoa maagizo waliochaguliwa kidato cha tano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jafo amesema wasichana wote waliofaulu katika mtihani wa kidato cha Nne katika mwaka uliopita wa 2018 wamefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo mbali mbali vya ufundi nchini.