Azam FC yaungana na Simba baada ya kutwaa ubingwa

Wachezaji wa Azam FC wakishangilia goli

Klabu ya soka ya Azam FC imetwaa kombe la shirikisho nchini (ASFC), kwa kuifunga Lipuli FC goli 1-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye uwanja wa Ilulu mkoani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS