Waislamu waaswa sikukuu ya Eid
Waziri Muungano na Mazingira January Makamba pamoja na Naibu Waziri wa Maji Juma Aweso, wameshiriki ibada ya Kitaifa ya Sikukuu ya Eid ambayo kitaifa imefanyika mkoani Tanga, ambapo waumini mbalimbali wa Kiislamu wamejumuika pamoja.