Wadau waunga mkono kampeni ya 'Namthamini'

Kampuni ya Maisha Super Market imekabidhi zaidi ya taulo za kike 600 kwa Kampuni ya East Africa Televission Limited kupitia kwenye kampeni yake ya kumsaidia mtoto wakike 'Namthamini' ili kumnusuru mtoto wa kike kukosa masomo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS