Toronto waanza fainali kwa kuwaumiza Warriors
Wakati East Africa Television LTD, ikielekea kwenye msimu mwingine wa Bball Kings kule nchini Marekani fainali za NBA zinaendelea ambapo usiku wa kuamkia leo Toronto Raptors wameanza vizuri dhidi ya Golden State Warriors.