15 washikiliwa kwa kula pesa za vitambulisho
Katibu Tawala Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Tusubilege Benjamin ameagiza jeshi la polisi kuwashikilia watendaji 15 wa vijiji na kata kwa tuhuma za kutafuna fedha zaidi ya milioni 15 za vitambulisho vya wajasiriamali.