Afisa elimu, polisi wavunja ndoa ya mwanafunzi Wanafunzi wa kike Afisa elimu Sekondari Wilaya ya Geita, Richard Mwakibinga kwa kushirikiana na askari polisi wa kituo kidogo cha Rwamgasa wilayani humo, wamefanikiwa kusambaratisha ndoa ya mwanafunzi. Read more about Afisa elimu, polisi wavunja ndoa ya mwanafunzi