Sherehe yafanyika ukusanyaji mifuko ya plastiki
Halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe imeendelea kutekeleza kwa vitendo agizo la serikali la kusimamia zoezi la ukusanyaji wa mifuko ya plastiki katika kata zake zote ikiwa ni kuunga mkono katazo la matumizi ya mifuko hiyo ili kuhifadhi mazingira.