Mkanganyiko wamalizwa, Kagera Sugar yarejeshwa Kagera Sugar Bodi inayosimamia Ligi Kuu Tanzania bara (TPLB) imekiri Kuwepo kwa makosa ya takwimu na kuirejesha timu ya Kagera sugar katika ligi ambapo sasa itacheza hatua ya play off. Read more about Mkanganyiko wamalizwa, Kagera Sugar yarejeshwa