Dereva teksi atuhumiwa kumteka Mo Dewji.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, limemfikisha Mahakamani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kijana aliyefahamika kwa jina la Mousa Twaleb (46), ambaye anatajwa kuwa ni dereva teksi akituhumiwa makosa mbalimbali ikiwemo kuhusika kumteka mfanyabiashara Mohammed Dewji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS