Dili la Kagere kwenda Zamalek linavyokwenda Meddie Kagere Uongozi wa klabu ya Simba umezungumzia tetesi ya mshambuliaji wake, Meddie Kagere anayehusishwa kujiunga na miamba ya soka nchini Misri, klabu ya Zamalek. Read more about Dili la Kagere kwenda Zamalek linavyokwenda