Joel Lwaga afunguka uhusiano wake na Muna Love

Joel Lwaga akiwa na Muna Love.

Msanii wa muziki wa injili nchini, Joel Lwaga amesema hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii wa filamu Muna Love kama watu walivyokuwa wakizungumza kwenye mitandao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS