Bilionea wa Kiarabu ainunua Newcastle United
Kwa mujibu wa taarifa za mtandao wa SunSport nchini Uingereza, mmiliki wa klabu ya Newcastle United, Mike Ashley ameiuza klabu hiyo kwa bilionea mwenye makazi yake Dubai, Sheikh Khaled bin Zayed Al Nehayan.