Samatta aingia kwenye 10 bora Ulaya
Baada ya ligi 5 bora barani Ulaya kumalizika kwa msimu 2018/19, wafungaji wa magoli wameongozwa na Lionel Messi, ambaye amechukua kiatu cha dhahabu nchini Hispania pamoja na Ulaya baada ya kufunga magoli 36 kwenye La Liga.