Mifuko mbadala yaanza kusambaa kwa wingi mitaani Wakazi wa Dar es salaam wakiwa na mifuko mbadala Ikiwa ni siku tatu zimebaki kabla ya sheria mahsusi ya kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki, tayari mifuko mbadala imeanza kusambaa katika mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam. Read more about Mifuko mbadala yaanza kusambaa kwa wingi mitaani