Tanzania yaanza maandalizi ya mkutano Mkubwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. Stagomena Tax katika kikao cha awali cha mashauriano kuhusu mkutano wa SADC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS