Rais mstaafu atimkia upinzani Rais mstaafu wa Botswana, Ian Khama. Rais mstaafu wa Botswana, Ian Khama amejiengua katika chama tawala kilichoongoza nchi hiyo tangu uhuru miaka 53 iliyopita, akieleza tofauti kubwa baina yake na Rais aliyerithi kiti chake. Read more about Rais mstaafu atimkia upinzani