Timu ya soka ya Bunge kwenda AFCON Misri

Job Ndugai.

Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema yeye na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wataongoza timu ya soka ya Bunge, kwenda Misri kwenye AFCON kuipa nguvu timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS