Sherehe za Simba Dar es salaam zaahirishwa Mechi ya Simba na Biashara ikiendelea uwanja wa taifa. Sherehe za kukabidhiwa kombe kwa klabu ya Simba zimeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha leo jijini Dar es salaam hivyo kuharibu utaratibu wa namna ya kutembeza kombe. Read more about Sherehe za Simba Dar es salaam zaahirishwa