Uongozi Azam wazungumzia Chirwa kugoma kusaini Obrey Chirwa Uongozi wa klabu ya Azam FC umezungumzia tetesi zilizosambaa kuhusu mshambuliaji wake, Obrey Chirwa kugoma kusaini mkataba mpya ndani ya klabu hiyo. Read more about Uongozi Azam wazungumzia Chirwa kugoma kusaini