Tahadhari kwa wenye ardhi kando ya (SGR)

Sehemu ya Reli ya kisasa ya (SGR).

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza kupangwa kwa miji katika maeneo yote itakapopita reli ya Mwendokasi (SGR), ili shughuli zitakazofanyika katika wilaya na vijiji inapopita reli hiyo kwenda sambamba na shughuli za kiuchumi za mradi wa reli hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS