Mshambuliaji wa Tanzania asajiliwa England

Adi Yussuf (katikati) akiwa na mabosi wa Blackpool

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Adi Yussuf amesajiliwa na klabu ya Blackpool  ya nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili pamoja na kipengele cha kuongeza mkataba wa mwaka mmoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS