Lissu ataja rasmi siku ya kurudi Tanzania

Mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amebainisha kuwa atarudi nchini, Septemba 7, 2019 ili aweze kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyia mwishoni mwa mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS