Azam FC yatambulisha kocha mpya Kocha Etienne Ndayiragije (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat. Uongozi wa klabu ya Azam FC, leo umeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Etienne Ndayiragije, kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kuanzia msimu ujao. Read more about Azam FC yatambulisha kocha mpya