Baada ya kujisalimisha, Wema Sepetu awekwa ndani Wema Sepetu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Juni 17 imemtupa mahabusu mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la kukamatwa kwake. Read more about Baada ya kujisalimisha, Wema Sepetu awekwa ndani