Mmiliki wa Facebook azungumzia kuifunga kampuni

Picha yenye Nembo ya mtandao wa Facebook.

Mtandao wa Facebook umechapisha orodha ya mabilioni ya akaunti feki ilizozichukulia hatua kati ya mwezi Oktoba 2018 na Machi 2019, ambapo kwa kipindi  cha miezi sita, Facebook ilifunga zaidi ya akaunti bilioni tatu feki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS