Serikali yapandisha ushuru wa nywele za bandia Serikali imependekeza kupandisha kwa ushuru wa asilimia 10 kwa bidhaa za nywele bandia zinazozalishwa nchini na asilimia 25 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje nchi. Read more about Serikali yapandisha ushuru wa nywele za bandia