Rais Magufuli amuapisha Dkt. Mpoki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemuapisha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada baada ya kumteua mwezi Januari mwaka huu.