"Sasa hivi bodaboda wanakula raha tu" - Kangi Waziri Kangi Lugola. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema kuwa hakuna bodaboda yoyote itakayokamatwa isipokuwa zilizohusika katika ajali, uhalifu na pikipiki ambazo hazina mwenyewe. Read more about "Sasa hivi bodaboda wanakula raha tu" - Kangi