Baada ya Makambo, nyota Simba afunguliwa milango

Kikosi cha Simba

Jana Mei 16, 2019 mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo, alimalizana na klabu ya Horoya AC ya Guinea kwa dau linalodaiwa kufikia Tsh 230,000,000. Baada ya nyota yake kung'aa sasa msemaji wa Simba Manara amesema beki Yusuf Mlipili atakuwa nyota hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS