TFF yatangaza bei za kuitazama Taifa Stars, Misri

Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike aliyebebwa na wachezaji.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limetangaza gharama za tiketi za kutazama mechi za Fainali za Africa (AFCON) zinazotarajia kuanza mwezi ujao nchini Misri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS