Wakurugenzi wapya watatu wateuliwa Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa, leo Mei 16, 2019 amefanya uteuzi wa Wakurugenzi watendaji watatu wa mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira. Read more about Wakurugenzi wapya watatu wateuliwa