'Ray aligeuka baba wa watoto waliokomaa' - Chuchu Vicent Kigosi Ray na Chuchu Hansy Mwigizaji kutoka Bongo Movie, Chuchu Hansy amefunguka kuhusu mzazi mwenzake Vicent Kigosi (Ray), kuwa baada ya kupata mtoto wao aitwaye Jaden, Ray alijiona baba mpaka wa watoto waliokomaa. Read more about 'Ray aligeuka baba wa watoto waliokomaa' - Chuchu