Piere atimiza ahadi yake kwa Jokate

Piere akiwa na DC Jokate baada ya kukabidhi madawati.

Mchekeshaji aliyejizolea umaarufu hivi karibuni, Piere Liquid ametimiza ahadi yake kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo aliyoitoa tarehe 30 Machi katika harambee ya tokomeza zero.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS