Upande wa Aslay wajibu kuhusu skendo ya ulevi Msanii Aslay Baada ya Zest kusema hajalipwa baada ya kufanya ngoma 10 kubwa za Aslay, meneja wa msanii huyo Chambuso amesema msanii wake hana tatizo na producer huyo. Read more about Upande wa Aslay wajibu kuhusu skendo ya ulevi