Makamba kutoa milioni 80 kwa mikoa mitatu Waziri January Makamba Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba, ametangaza neema kwa mikoa nchini itakayoibuka kidedea katika kupiga vita mifuko ya plastiki. Read more about Makamba kutoa milioni 80 kwa mikoa mitatu