Nigeria wamuumiza kichwa Zitto, atamani wengine Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amempongeza nahodha wa taifa Stars Mbwana Samatta, kwa kutwaa ubingwa wa soka Ubelgiji na klabu yake ya KRC Genk. Read more about Nigeria wamuumiza kichwa Zitto, atamani wengine