Rais afanya mabadiliko baraza la mawaziri Joram MacDonald Gumbo Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, amefanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri, kwa kumhamisha waziri wa Nishati Joram MacDonald Gumbo. Read more about Rais afanya mabadiliko baraza la mawaziri