Dismas Ten apingana na Manara, aeleza msimamo wake

Kushoto ni Dismas Ten na kulia ni Haji Manara.

Msemaji wa klabu ya Yanga Dismas Ten, ameweka wazi kuwa yeye haamini kama mashabiki wanaweza kwenda uwanjani kwa kuhamasisha na msemaji bali ni mapenzi yao kwa klabu ndiyo yanawapeleka uwanjani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS