Waziri Mkuu awasimamisha kazi Wakurugenzi 7 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi Wakurugenzi saba wa Tume ya Umwagiliaji, akiwemo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa tume hiyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Read more about Waziri Mkuu awasimamisha kazi Wakurugenzi 7