Makonda awapa tahadhari waathirika wa mafuriko
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amefanya ziara ya ukaguzi wa athari za mafuriko ambapo amesema serikali imeanza kukarabati miundombinu iliyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ikiwemo Madaraja, Barabara, Mito na Mifereji.